MAISHA HALISI ya MZEE MPILI, SHUJAA wa YANGA ANAYELIA na VIFO Vya WANAE - "NIMEACHIWA WAJUKUU"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 мар 2025
  • MAISHA HALISI ya MZEE MPILI, SHUJAA wa YANGA ANAYELIA na VIFO Vya WANAE - "NIMEACHIWA WAJUKUU"
    GLOBAL Tv Online tumefunga safari kutoka makao makuu Sinza Mori Dar es salaam mpaka Rufiji Ikwiriri kuzungumza na shabiki na mwanachama mtata wa Yanga, Mzee Mpili, ambaye amejipatia umaarufu mkubwa siku za karibuni baada ya kauli yake ya 'Sisi Tuna Watu, Hatuwezi Kufungwa na Simba' kutafsiriwa kama kauli iliyowapa nguvu Wana Yanga kuibuka na ushindi katika pambano la ligi kuu bara Julai 3.
    Kwenye Mitandao, Mzee Mpili huonekana kama mzee mtata na mwenye uchu wa mafanikio kwa timu yake (Yanga) huku wengi wakiwa hawajui maisha halisi ya mzee huyu.
    Tazama mahojiano haya upate kujua mengi ambayo hukuyajua kuhusu Mzee mpili...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY: shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Комментарии • 19